SABUNI ZA MWANI

03 May, 2023 - Sea Moss

Husaidia kuondoa kuwashwa kwa Ngozi. Huondoa chunusi, madoa, napunye, matangotango, makovu  na  matatizo yote ya ngozi . 
Tumia Sabuni ya Mwani kwani ni sabuni nzuri iliyosheheni minerali za baharini ambazo husaidia sana ngozi Kwa wale wenye ngozi zisizoeleweka
Sabuni ya mwani asili kazi yake  kubwa ni kutibu ngozi

Sabuni Ya mwani ina povu jingi , haichagui maji, haina harufu mbaya, nzuri kwa watoto.

Nzuri katika kuthibiti afya ya ngozi
Sabuni haichubui ngozi .
Ule  weusi wa mapajani unaokupa shida  ukitumia sabuni ya mwani unapungua sana.

Ukitaka kupendeza kua na Nuru siku yako ya shughuli (siku ya harusi ) tumia sabuni ya mwani. Wamama wajawazito nzuri haina harufu Mbaya Hata watoto wanaogea sabuni hii

ukitumia sabuni Hizi za mwani kwanza Unapendeza sana rangi inang' aa inakuwa moja mwili wote

MATUMIZI 
tumia asubuhi
na jioni mara 2 Kwa siku povu lake ni tiba tosha. Mabadiriko kwanzia Siku 3-7inakausha chunusi haraka sana sanaa sabuni ya mwani na lotion yake huwa silelezeagi sanaa Ni bidhaa za maajabu Kwa afya ya ngozi