Mwani kwa kingereza ni (#seamoss) Unafaida nyingi sana jinsi unavyozingatia katika lishe yako ndivyo unafaidika zaidi Kiafya Uzuri wa mwani anatumia kama chakula dawa (lishe) mtu yoyote anaweza kutumia
Mwani ni mmea ambao kuanzia kuota kwake mpaka kuvunwa pamoja na uhifadhi wake hauhitaji kemikali. Mpaka hapa sea moss inakua tofauti sana na mazao mengine mengi ya ardhini na hi inafanya kuwa moja ya chakula au lishe bora na salama zaidi kiafya. watu wa Maeneo ya pwani ni mashahidi ukitumia huta kuja kujutia.
Aidha tafiti mbali mbali zimeonesha matumizi lukuki ya sea moss zaidi ya kutumika kama chakula pia hutumika viwandani kama marighafi na Bidhaa zake zinakubarika sana Sokoni kwa sasa.
mbogamboga za baharini, hutumika kama malighafi za kutengeneza bidhaa za mafuta ya kupakaa mwilini aina ya losheni na vipodozi vya kutunza afya ya ngozi. Mbali na kusheheni virutubisho, vyakula vyenye asili ya majini vina dawalishe ambazo husaidia mwili kupambana a vimelea vinavyosababisha magonjwa kama vile virusi na bakteria wa aina mbalimbali.
Mwani una madini mbalimbali kama vile madini joto, madini chuma, calcium, magnesium, copper, zinc na aina mbalimbali za vitamini kama vile vitamini A, B-12, C, D, E na k. Vyakula hivi pia hutupatia mafuta mazuri ya aina ya omega-3, ambayo ni mazuri kwa afya na utendaji wa moyo, ini na ubongo.
Katika utafiti uliofanywa na wataalamu
waliobobea katika maswala ya sayansi za vyakula ilibainika kuwa vyakula vinavyotokana na mbogamboga za mimea ya baharini, mbali na kusheheni virutubisho, pia vina nyuzilishe muhimu kwa ajili ya utendaji mzuri wa mfumo wa chakula.
FAIDA ZA MWANI
-Huimarisha kinga ya mwili
-Huongeza nguvu kwa ujumla
-Huimarisha afya ya akili na kuipa akili utulivu na kurejesha kumbukumbu.
-Mwani ni mzuri kwa afya ya mifupa, Macho na ini.
-Mwani unasaidia kupunguza au kuzuia uvimbe na maumivu katika mwili. (Uvimbe wa tezi ya shingo Goiter )
-Hupunguza unene
-Huboresha afya ya ngozi na kufanya kuwa na muonekano Na kutibu magonjwa ya ngozi.
-Husaidia kukuza nywele unatumia kama hair conditioner ni nzuri sana kwa nywele.
-Mwani unaboresha mmengenyo wa chakula (Digestion kwa ujumla)
-Mwani unaboresha afya ya mapafu kama mtu ana shida ya kupumua au upungufu wa pumzi.
-Mwani unasafisha mapafu kwa wavuta sigara na wanaofanya kazi kwenye maeneo yanayoathiri mapafu :viwandani, majikoni nk.
-Mwani husaidia kusafisha makamasi (Mucus) kutoka kwa mwili Tiba ya kikohozi kisichoisha na Tonsezi.
-Mwani unafaa kwa afya ya uzazi jinsia zote huboresha tendo la ndoa
-Husaidia kupata usingizi
-Hupunguza maumivu ya hethi
-Husaidia kuthibiti homoni zinazochochea saratani
-Ulaji wa mwani husaidia kuchoma mafuta mabaya mwilini (Bad cholesterol)
-Mwani hupunguza kasi ya kupata magonjwa ya moyo, kisukari, kansa, kiarusi na kuboresha afya ya moyo.
-Mwani una sifa kutibu matatizo ya tumbo kujaa gesi.
-Rishe nzuri pia kwa watoto ukuaji
-Mwani unasaidia kutoa ganzi mwilini.
-Mwani unavirutubisho hivyo husaidia kuweka Sawa homoni.
-Mwani unaboresha afya ya mama mjamzito na aliyejifungua
-Hupunguza sumu zilizoko mwilini a kufanya mwili kuwa na afya bora.
-Mwani unasafisha utumbo na afya ya tumbo kwaujumla (Gut health)
Na faida nyingine nyingi….
Jaribu kutumia sea moss na wewe leo na anza kujionea tofauti hizo! Watu wengi waliokua wamekata tamaa wanaeleza jinsi Mwani umerudisha furaha kwenye maisha Yao. Sea moss ni mzuri kwa utunzaji wa afya kwa 100%
Tutafute Asili Sea Moss tukufanyie delivery mikoa yote ya Tanzania, Zanzibar ndani na nje ya nchi. Tupigie /whatsup +255785070444 karibu kama una maulizo mengine yeyote kuhusu sea moss (mwani ) Matumizi sahihi , namna ya kuandaa Usisite kuuliza tuma msg ndani ya dk 5 tu za mwanzo utajibiwa kwa UPENDO mkubwa Huduma hii ni buree
NB: MIKOANI TUNATUMA BILA UTAPELI
Raw sea moss au MWANI MKAVU)
jinsi ya kutengeneza Chukua Mwanii kiasi kidogo osha vizuri ( hakikisha ni safi harufu na michanga yote imetoka) osha zaidi za Mara 3
Loweka Unachanganya na ndimu ya tunda au limao kisha funika inasaidia kukata shombo , loweka na maji masafi ya kawaida, utaanza kuumuka kwa mda kuanzia masaa 12….. na kuendelea hadi mpaka uwe Laini vizuri Kisha Saga kwenye blender unaweza kuongeza tangawizi ukipenda matunda , Maziwa , Tende , vanilla n. Ili kupata Radha Nzuri
Saga gel iwe kama uji mzito (GEL) hifadhi vizuri kwenye fridge tayar kwa matumizi.
Matumizi sahihi ni vijiko 2-3 kwa ck kwa mtu Mzima na nusu kwa mtoto ukichanganya kwenye mlo wako kama vile :supu, juice, kachumbari , Maji , uji, mtori na chakula kingine chechote cha moto n.k
lakin pia unaweza kutumia fresh bila kuchanganya kwenywe chakula ni Sawa pia.
Sea moss powder au Unga unatumia robo -nusu kijiko tu kwenye maji ya moto ya tangawiz + ndimu au Limao tu (chai isiyo na sukari)
Limao inasaidia kukata shombo, Koroga unapata GEL Unakunywa kila siku asubuhi. Kama unayotumia maziwa ya Unga
Au Unaweza kuongeza kwenye chakula kingine cha moto unga unalainika vizuri, kama mtori, soups Nk..
Ili kufahamu zaidi click hapo
kutembelea kulasa zetu za kijamii https://
linktr.ee/asiliseamoss
usiwe mchoyo share na wenzako