FAHAMU KUHUSU MWANI {Sea moss}

13 Feb, 2023 - Sea Moss

 Japo Kua  dhana hii ni ngeni kwetu, Walakini ina faida muhimu (lishe) kutumia mwani huta kuja kujutia

Historia ya mimea huu ni  Kingdom Plantae kama tunavyoijua leo, asili yake ni baharini.

MWANI
Mwani una  zaidi ya 90% virutubisho vinavyohitajika katika mwili wa binadamu. Mwani una  madini  92 kati ya madini 110 ambayo mwili umejengwa nayo.

Tujifunze  kuboresha Afya zetu, kuna wakati matatizo mengi ya kiafya husababishwa na vyakula tunavyotumia kwa wingi kunaweza  kuhatarisha maisha yako na kusababisha hata kifo. Tunapaswa kuwa waangalifu sana, fikiria kuhusu kuongeza mwani katika rishe ya familia yako.

ZIFUATAZO NI FAIDA ZA MWANI MWILINI
•Husaidia ktk afya ya tezi
•Husafisha utumbo uliojaa uchafu.
•Husaidia Kansa 
•Huongeza nguvu za misuli na mwili kiujumla.
•Huboresha uzazi kwa Wamama na kina baba
•Hurudisha ngozi katika hali ya ubora wake kama iliungua,vipodozi sumu,kuzuia ngozi kuzeeka
•Huongeza hamu ya la ndoa
•Huondoa maumivu sugu ya mwili kama mgongo kwa wale wanafanya kazi wakiwa wanasimama sana au kukaa .
•Husafisha mapafu na figo.
•Huipa mifupa nguvu na ubora wa hali ya juu 
•Hupunguza na kuondoa msongo wa mawazo 
•Husaidia wagonjwa wa kisukari Mwani una Nyuzi nyuzi laini (smooth fibers) ambazo huthibiti mfumo wa kumeng’enya sukari mwilini. 
•Kukata kero na adha ya maumivu ya hedhi kwa akina dada .
•Kuondoa kiungulia .
•Kuongeza kinga ya mwili kwa haraka hasa kwa wagonjwa walio vitandani, wazee, wenye lishe hafifu, na watu wenye  upungufu wa kinga mwilini.
•Huongeza afya ya  akili hasa kuongeza kumbukumbu na kuondoa brain fog
•Huondoa sumu mwilini. Ni lishe nzuri kwa watu wanofunga kula chakula kwa sababu mbalimbali. 
•Husaidia afya ya Ngozi, nywele, kucha na kuchelewesha kuzeeka Anti Aging
•Inasaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni hivyo kusafirisha viini lishemwilini kwa urahisi.
•Husaidia kupambana na cholesterol mwilini hivyo kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo na presha.
•Husaidia mfumo mzima wa upumuaji pamoja na maumivu ya koo.